3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
UBUNGO KIBO
DK 7 TOKA MAIN ROAD
BEI NI 350,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
HAINA FENSI USALAMA BOMBA