3 Bedrooms House/Apartment for sale at Buza, Dar Es Salaam


Haya maboss Apartments hizoo zinauzwa..
zipo Buza kwa mpalande manispaa ya temeke Dar es salaam Tanzania 
Zipo 5  ndani ya fensi moja
Ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja master, sebule, jiko, dinning
Zilizobaki vyumba viwili, kimoja master, sebule jiko, 
Eneo sqm 1400
Bei mil 140 mazungumzo 
Hati iki mbioni kutoka
Site visit fee 30k 
Karibu mteja 
Tuwasiliane 0625584914


















