3 Bedrooms House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


*Dar Kigamboni: Nyumba ya Ghorofa 1 Yenye Apartments 3 Inauzwa*
.
> > Kigamboni Kibada
> > Ina hali nzuri/ya kuhamia
> > Unit zote 3 zinajitosheleza
> > Unit 2@vyumba 3, na unit 1 vyumba 2
> > Kila unit ina luku yake
> > Pana uzio, peva, bustani, maegesho, kisima (mita 60) na pampu yake
> > Sqm 1,460
> > Hati ya wizara
> > TZS milioni 450