3 Bedrooms House/Apartment for sale at Ukonga, Dar Es Salaam







NYUMBA (APARTMENT 2) MBILI ZINAUZWA NDAN FENS MOJA
UKONGA MAGEREZA
๐๐BEI MILION 80๐๐
๐0.KM KUTOKA GEREZA LA UKONGA
๐JUMLA YA VYUMBA VYOTE VYA KULALA NI V5
๐APARTMENT ZIKO MBILI NDANI YA FENSI NA ZOTE ZINA WAPANGAJI
NYUMBA YA KWANZA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
MASTA MOJA
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC
๐APARTMENT YA PILI INA VYUMBA VITATU MASTA SEBULE MOJA, JIKO
CHOO CHA PUBLIC
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
WHATSAP AU PIGA
0788156493
0614130017
0760053111