4 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Bunju B
Ina Vyumba Vinne vya kulala, Vyote ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1 Laki 2
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744