4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA NA NZURI INAPANGISHWA GOBA MAGETI DK 3 KUTOKA LAMI AU GOBA ROAD.
ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJA NA MBALI MBALI
NA HII NYUMBA KUBWA SANA WAHI NDUG MTEJA
-SEBULE KUBWA
-DINNING KUBWA
-VYUMBA VINNE VYA KULALA VIWILI MASTER
-JIKO KUBWA NA STOO
-FULL AC NA MAFENI
-FULL CAMERA/SECURITY ELECTRIC FENSI.
-PEVING BLOCK
KODI NI 700,000 ILIPWE MIEZI SITA
NJIA MKEKA KAMA UNA GARI YA CHIN NJOO HAPA.
0679 956 863
0759151524
0781 418 437