4 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIBAMBA SHULE KM1 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿