4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA YA KIFAMILIA WAPANGAJI WAWILI TU HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA ITAKUWA TAYALI MTU KUHAMIA TAREHE 10/12/2025 BAADA YA MAFUNDI KUMALIZA RANGI NJE NA NDANI NA MABORESHO MADOGO
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DAINING TABLE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 10 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0713661530_0783661530



















