4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







STEND ALONE NZURI SANA YA KISASA
NYUMBA KUBWA SANA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENCE 
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI 
๐Inakuwa wazi 30/5/25 
LOCATION:
KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 4 UPO NDANI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 4 VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
DINING TABLE 
JIKO ZURI LENYEMAKABATI 
PUBLIC TOILET NDANI 
IPO YENYEWE NDANI YA FENCE 
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU 
KODI YAKE 500K X 6
KUONA  NYUMBA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363




















