4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE KUBWA SANA INAFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA #BEI 600K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 4 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING KUBWA
#STORE
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD
BODA 1000 MPAKA GETINI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
0715949085
0782838336