4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA FENSI
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI SAFI NA USAFIRI NI BAJAJI 500 AU BODABODA 1000
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#ELECTRIC FENCE
#PARKING KUBWA
#INAJITEGEMEA KWENYE FENSI
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168