4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZIMA YA KUPANGA IPO KIMARA TEMBONI
KAMA UNATOKA MUJINI
KUSHOTO
UMBALI WA KILOMITA 2 NA POINTI 5
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1500
NYUMBA INA VYUMBA 4
VITATU VYOTE
MASTA DAININGI
SEBLE KUBWA
JKO KUBWA
UMEME MAJI
VYOTE VIPO
FENSI IMEJENGWE YOTE
ILA HAKUNA GETI MLANGONI
MAJI YANATOKA
NDANI
KUPELEKWA KUONA
15000
UKILIPA DALALI MWEZI
MUMOJA
KODI YA PANGO 250000X4/5/6
ILIPWE YOTE
SIMU
0712656027