4 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vinne (vyote master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko la kisasa
- Water heater
- A/C
- Public toilet
- Maji 24/7
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 1,000,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.