4 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE TEGETA MADALE NYUMBA LAMI
---------
Vyumba 4 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full air condition
Swimming pool
Maji yana flow
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,000,000/=×6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
--------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿