4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


400K X6 STAND ALONE INAPANGISHWA
MBEZI MWISHO KARIBU KABISA NA ROUND ABOUT YA DARAJA LA MAGUFULI BUS TERMINAL..
PIGA SIMU 0755831740
NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
💥KODI YAKE 400K X6
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MBEZI MAGUFULI TERMINAL KWA NYUMA NI DAKIKA 12 TU KWA MIGUU..
SIFA ZA NYUMBA::--
VYUMBA VINNE VYA KULALA NA KIMOJA KATI YA HIVYO, NI MASTER BEDROOMS SEBULE KUBWA, DINNING NA JIKO , SINGLE ZIPO 2 KWA NJE , MAKABATI SAFI, NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TILES JIPSUM, SLIDE WINDOW NDANI YA FENCE YA PEKE YAKE PARKING KUBWA.
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
ILIPWE SHILINGI LAKI NNE KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.20000
🏘️🇹🇿WELCOME