4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







500,000 x6. 0679 956 863
MBEZI MWISHO KWA YUSUPH. STAND ALONE KUBWA SANA
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
GARDEN
PARKING KUBWA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZIMWISHO) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA