4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING

BEI NI 500,000/= X 6

🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

CONTACT ME: 0672 673363

DALALI PATRICK KIMARA |MBEZI |GOBA | KIBAMBA
dalali_patrick_kimara_mbezi
DALALI PATRICK KIMARA |MBEZI |GOBA | KIBAMBA

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 13,000,000

BEI MILIONI 13_________NYUMBA INIUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI ________UMBALI WA KILOMITA 3HADI SITE___...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Plot for sale mbezi AfricanaSqm 400 ,price 40M0752734327

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko (200,000) #MBEZI_KWA_MSUGURIAPARTMENT NZURI INAPANGISHWA M...

2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

BEI MILIONI 20MAONGEZI YAPO NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KUTOKA KILOMITA 3 HADI ...

Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000,000

VIWANJA VINAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI.. ISHI TOWN➖➖➖➖➖➖➖PLOT SIZE: 20M X10M PRICE: 4 MILLIONS PLOTSI...

2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

BEI MILIONI 20 cal 0677445508MAONGEZI YAPO NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KUTOKA KI...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

🇹🇿 HOUSE CLASSIC FOR RENT #STAND ALONELocation: MBEZI KIBANDA CHA MKAA Unaweza Ukapitia KIMARA TEM...

Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 8,000,000

BEI MILIONI 8VIWANJA VINAUZWA MAENEO VILIPO MBEZI NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA KWENDA KWENYE VIWA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPANDE W...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️ ITAKUWA WAZI 01/08/2025Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️ ✔️SEBU...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT Classic For Rent ✨️ Location: MBEZI MWISHO Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD Usafiri 24H...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

MILIONI 25. 0759151524NI KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA ML 25 NA MAZUNGUMZO YAPO KIPO MBEZI MWISHO MA...

2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

BEI MILIONI 20MAONGEZI YAPO NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KUTOKA KILOMITA 2 HADI S...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KU...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000

#CHUMBA SEBULE JIKO CHOOIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI - MBEZI BEACH Africana ______________________#CHUMBA...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

KIWANJA SAFI KABISA KINA UZWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA -------SQMT 1245_______HATI MILI...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #CHUMBA SEBULE JIKO CHOOIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI - MBEZI BEACH African...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH (unatembea )______________________#CHUM...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPANDE W...