4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe
Location Ubungo Riverside Dakika 6 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
===========
Room 4 za Kulala Moja ni Master Bedroom Kubwa
Sitting Room Kubwa
Dining room table
Kitchen
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Dirisha shata
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565