4 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


:
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI
NYUMBA HII PO WAZO HILL (MSIGANI)
UNAWEZA KUPITIA NJIA YA TEGETA NA UKAFIKA SITE AU UNAWEZA KUPITIA NJIA YA MADALE NA UKAFIKA SITE NA USAFIRI UPO WA KUTOSHA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI AU DALADALA UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 05/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA SANA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168