4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam






⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
Dsm
Ghorofa Ghorofa Ghorofa
Linauzwa la Kujidaii!
Mahali ni Goba
Ghorofa lenye Eneo
Sqm 961
Lina vyumba vinne
Hati miliki ipoo
Lipo Goba Kurangwa maafuru kwa Mkorea
Kituo ni kwenye sheli ya KB Goba Kisauke
Unakunja kushoto kutoka sheli
Dk 2 unagusa lami, 5 kwa mguu
Gari linafika mpaka nje na umeme umefika
Eneo zuri limetulia
Linauzwa kwa mnada
Leta ofa yako
Dalali anapata kamisheni
Location longitudes zinakufikisha
Makadirio 250M