4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Goba Njia Nne.
Ina vyumba vinne (kimoja master), sebule kubwa, dinning, lenye makabati, public toilet, servant cotter (master, sebule na jiko), paving, parking na electric fence.
Mtaa mzuri sana.
Bei 180 Mil tsh.
Muhitaji piga +255688412890.