4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


PAGALE LA VYJMBA 6, TSHS.100 MILIONI TU, GOBA.
Hii ni nyumba kubwa iliyoishia kwenye hatua ujenzi ya Linta.
Ipo umbali wa kilomita 1 tu kutoka GOBA SENTA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Chini ya ya Sakafu kuna vyunba 2 na Sakafuni kuna Vyumba 4 pamoja na Sebule,Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo tayari.
Ikiwemo pia Mashimo ya Maji Taka.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________zw
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.