4 Bedrooms House for sale at Kianga, Mtwara







NYUMBA ZINAUZWA KIANGA BRANCH
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Barabarani Mita 500
Ukubwa wa Kiwanja Mita 35x32
Nyumba zipo 2 Katika Kiwanja Mita 35x32
NYUMBA 1 (Nyumba ya Ghorofa 1)
Ground Floor
Chumba 1 (Master), Dining Room, Sitting Room, Jiko, Stoo & Public Toilet
Second Floor
Vyumba 2 (Vyote Master)
Jiko
NYUMBA 2 (Nyumba ya chini/sio ya Ghorofa)
Hii Ina wapangaji Inajitegemea umeme
Vyumba 4 ( Master 2)Dining Room, Sitting Room, Jiko, Stoo & Public Toilet
ZIADA
Mabanda ya kuku
Chumba (Master) cha Uwani
Fensi
Maji (Kisima)
Njia Upande 1
Bei Tsh 400m (Maongezi Yapo)
What’s App/Call0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake



















