4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


*ENEO LENYE EKARI 4.9 LINAUZWA KIGAMBONI, MWONGOZO*
*Distance* Eneo liko umbali wa mita 50 kutoka barabara kuu ya lami ya kutoka Kigamboni kupitia Mjimwema-Geza-Kimbiji hadi Buyuni
-Eneo lina private road inayogusa lami yenye upana wa Mita 10
-Eneo limezungushiwa Ukuta pande tatu
Eneo lina mageti 2 yote yanapitika kwa njia ya gari
*NDANI YA ENEO KUNA VITU VIFUATAVYO*
1.Nyumba kubwa ya kisasa yenye vyumba 4 vyote master Sebule 2 Dining na Jiko kubwa.
2. Nyumba ya wafanyakazi yenye vyumba 3 vyote master na Sebule
3. Jiko kubwa la nje na store
4. Mabanda 3 makubwa ya kufugia Kuku
5. Mabwawa 3 ya kufugia Samaki
6. Vibanda 4 vya walinzi
7. Kisima cha maji
8. Umeme upo
-Document: Eneo limepimwa ila HATI ipo kwenye mchakato wa kutoka
-Ukubwa wa Sqmtrs 24,010
*Bei shilingi Bilioni 1.5 maongezi yapo*
Simu:+255621488071