4 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA 6, FREMU 4, TSHS.40 MILIINI, KIVULE-KAPUNGU.
Hapa ni jirani na KIVULE MWISHO,
Au BOMBA-MBILI Stand.
Hii ni nyumba ya Biashara na Makazi.
Vyumba 6 na Jiko la Pamoja moja.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.360
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mskv


















