4 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam






Stay alon ipo kivule makonde
Bei 500k
Details za nyumba.
- Vyumba vinne vya kulala, kimoja master na heater ya maji moto.
- public toilet ndani
- Sebule kubwa ya kisasa
- Dining kubwa ya kisasa
- Jiko na kabati zake
- Nje paving full
- Kisima cha mashine maji matamu 24hrs
- Electric motor ya kisukuma maji kwa pressure ndani
- Sim tank kubwa ltr 3,000
- Jiko la nje full na kabati
- Public toilet Nje
- Banda la kuku
- Nyumba full camera
- Nyumba full electric fence
- Stand alone full fenced
- Nyumba full AC
0614130017
Kupelekwa elf 20