4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa ipo mbagala sabasaba kwa mpiri nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen toilet Public nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina Hati miliki ya wizara ya aridhi ukubwa wa sqm 300 nyumba ina fremu chumba 6 nyumba kwa Sasa bei imeshuka kutoka ml 68 mpaka ml 49,000,000/= milioni
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp