4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa
Bei: Milion 120 (TSH).
Mahali: Mbagala Majimatitu-Dsm
(Simu/WhatsApp):+255744993715.
SIFA ZA NYUMBA:
Vyumba vinne (4) vya kulala, viwili ni masta, Sebule kubwa ya kisasa, Dining room, Jiko lenye makabati, Choo cha wageni, Kuna Kisima Cha Maji & tank, Feni na mifumo ya Air Conditioner ipo, Paving blocks, Uzio (Fence), Camera za CCTV, Umeme wa uzio (Electric Fence).
Mazingira ni tulivu na salama Kwa familia Yako, ni karibu na huduma zote kama Shule, hospital na maduka. Sio mbali na Barabara ya Lami.
Call/WhatsApp
O677370515
0688991244