4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam





Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku ilulu nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen toilet Public nyumba ina fremu chumba 2 nyumba umeme upo Maji yapo bei ml 47 CALL 📞 0683491594,0716974073