4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.40 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI/SAKU.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________rjk


















