4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA ZURI KABISA INAUZWA NI MPYA NA UPYA WAKE
LOCATION:MBEZI MSAKUZI
UKUBWA WA ENEO NI SQMT:500
MAHUZIANO:HATI MILIKI KUTOKA ARDHI
BEI YAKE:MILION 125 MAONGEZI YAPO
SIFA YA NYUMBA
👉VYUMBA VINNE KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA
👉JIKO KUBWA LENYE MAKABATII
👉DINNING KUBWA
👉JIKO LA NJEE
👉FULLY A/C
👉FENCE
👉PARKING KUBWA
👉PAVING BLOCK
👉CCTV CAMERA
👉ELECTRONIC FENCE
👉FULL GARDEN
CONTACT
0782428327