4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


*🌹NYUMBA ZIKO MBILI ZA KIFAHARI ZINAUZWA NAZIMEJENGWA KISASA SANA SANA NA ZIKO STANDARD MNO MNO.....
🌹NYUMBA YA KWANZA NI GHOROFA MBILI INA MASTERBEDROOM ZOTE *JUMLA VYUMBA 11* *PAMOJA NA *FREM TATU*ZOTE ZINAWAPANGAJI..*
🌹NYUMBA YA PILI NI NYUMBA KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA VYUMBA VINNE KIMOJA MASTERBEDROOM SEBULE KUBWA SANA JIKO SAFI NA DINNING SAFI ILIYONYOOKA
🌹CCTV CAMERA SAFI KABISA ZAKISASA ,FULL ELECTRIC SENSER FENSI....
🌹BEI NI MILLION 480 TU MAZUNGUMZO SITE.....
🌹LOCATION MBEZI KIMARA
🌹BARABARA NI MKEKA LAMI SAFI ....
🌹FULL DOCUMENTS AVAILABLE
.....MUHITAJI NJOO SITE UKAGUE MMILIKI MWENYEWE YUPO ATAKUEPO NA ATAKUELEZEA NA KUJIBU MASWALI YAKO YOTE KWA UFASAHA
.....KARIBUNI SANA WATEJA..
0712500602
0755336565



















