4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam





Nyumba inauzwa nyumba ipo mbezi temboni
Nyumba ni ya vyumba 4 v2 master
Nyumba ina sebule jiko daining public stoo
Nje kuna boycoter ya chumba na sebule na choo zipo per tatu
Eneo sqm 1200
Titlee deddee mkononi
Km 2 kutoka moro road
Maji umeme vipo ndani
Bei mil 170 mazungumzo
Nyumba ipo full fenicha
Na nyumba ipo full AC
Kupelekwa elfu 30
Karibu sana mteja