4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam




Ghorofa hilo linauzwa:
(1)Vyumba 4 vyote master
(2)Seating room 1 king size
(3)Majiko 2 moja ndani kubwa na lingine dogo nje
(4)Dinning 1
(5)Store 1
(6)Vyoo public 1 ndani, nje vyoo 2
(7)Vyumba vya nje 2
(8)Frame/duka 1 kubwa
(9) balcon 5
(10)Air condotion 1 master
(11)Parking ya Magari *Location* : Mbezi Mshikamano- Mpigi magoe road
*Distance* :
800m from Morogoro road.& 100 mita toka Mgalula ( kituo Cha gari).
Price 270 ( fixed price)
0742941423