4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 55
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MWISHO
MAENEO KWA YUSUFU
KITUO
====
UKISHUKA HAPO KWENDA KWENYE NYUMBA UMBALI WA KILOMITA 1 HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BODA BODA 1000
.UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20
NI SAWA NA SQM 400
=====
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VINNE 4 VYA KULALA. KIMOJA NI MASTER
SEBULE JIKO NA CHOO CHA PABLIC
CHOO CHA PABILIKI
UMEME MAJI VYOTE ALISHAWEKA
NYUMBA INAWAPANGAJI
BARABARA INAFIKA VIZURI
=====
DOCMENTI ZA MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
GARAMA ZA KUPELEKWA KUONA 25000
====
CONT
0683234124
0718367179



















