4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







INAUZWA
INAUZWA
INAUZWA [ FOR SALE]
LOCATION MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KILOMETA 1.5
NYUMBA ZINAUZWA
ZIPO TATU NDANI YA FENCE MOJA
A: NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA YENYE VYUMBA 3 VYA KULALA, SEBULE, JIKO
MASTER IPO NA PUBLIC TOILET NDANI
B: KATIKATI JIRANI NA GETI KUNA NYUMBA YENYE VYUMBA MASTER VITATU ( 3 ) VYA WAPANGAJI
C: NYUMA YAKE KUNA VYUMBA SINGLE VINNE (4 ) VYA WAPANGAJI
D: KUNA MASTER 1 KUBWA JIRANI NA NYUMBA KUBWA
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITA 10000
[ SAWA NA MITA 40 KWA 25
THE PRICE / MILIONI 120
TZ SHILINGS
###0655256419