4 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA NZUR SANA INAUZWA
@
Mahali tabata kinyerez shule
@
Bei milioni 450 ( maongezi)
@
Dk 1 kutoka lami mtaa ni wakishua sana
@
Ni ushuan sana
@
Kuna frem 5 mbeli
@
Ni vyumba 4 kimoja ni master sebule jiko
@
Choo diningi
@
Hati miliki ya wizara
@
Maji dawasa
@
Garama ya kupelekwa ni sh 50000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687