4 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA MOJA MZUR SANAA
Inauzwa
Mahali Tabata kinyerezi mbuyuni
Bei milioni 250.( maongez)
Unatembea tu kutoka lami
Ukubwa sqm 800
Vyumba 4 sebule jiko choo
Vyumba 3 ni master bedrooms dinning
Store & choo
Gharama ya kupelekwa ni sh 30k
mawasiliano
CONTACT
+255-762227325 WhatsApp call 📞
+255-685557372
+255-622227322


















