4 Bedrooms House for sale at Zuzu, Dodoma


*Eneo la Shule linauzwa Dodoma mjini*
*Location* Eneo lipo Barabarani SGR na karibu na Ring road
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp
-Eneo lipo Dodoma Mjini
Kata ya Nzinje (Zuzu)
Mtaa wa Pinda
*Description*
-Eneo lina majengo Madarasa 4, nyumba ya vyumba v3 vya kulala, matundu ya vyoo vyenye matundu 12, ofisi 4.
*Shule imesajiliwa ni kwa ajili Primary School DARASA 1-7 kwa sasa haufanyi kazi*
-Plot size Sqmtrs 33,260
-Document: Title Deed *(Hati ya mradi wa Shule/Taasisi)*
*Bei shilingi milioni 300 maongezi yapo*