4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Kibo Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Morogoro Road Boda ni 1000 mpaka home
Kodi 700000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen with Cabinet
Store
Public toilet
Bafu
Jiko la Nje
Luku yake
Fully A/C
Hita Maji Moto
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Garden nzuri
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















