5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
KODI 600,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA.
UMBALI KM 1.5
VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER INA JAKUZI
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA LA MAKABATI
SEBULE KUBWA NA DINNING
STORE
FULL AC
CCTV CAMERA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK GARDEN SAFI KABISA
MAFUNDI WAPO WANAFANYA MAREKEBISHO YA RANGI NA MENGINE
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU
0677445508



















