5 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


π Nyumba ya Kupanga - Tegeta Wazo π
Mtaa mzuri sana, tulivu na salama!
ποΈ Vyumba 5 (ikiwa ni pamoja na 1 Master Bedroom)
πΏ Mabafu 2 ya ndani (public bathrooms)
ποΈ Sebule kubwa
π³ Jiko zuri
π³ Garden ya kupumzikia
π° Kodi: Milioni 1.8 kwa mwezi
π Wasiliana:
#0758998074π
#0689138795whatsapp