5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


TSHS MIL 250, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-GOBA CENTER
MITA 400 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE SQM 895
NYARAKA ZA UMILIKI INA HATI SAFI
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
YENYE;
Vyumba vitano vya kulala vyenye makabati full AC kimojawapo ni master yenye laundry, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo, Choo & Bafu
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space kubwa
Fencedhouse
KWA NYUMA INA MABANDA YA KUKU
NEIGHBOURHOOD NZURI NYUMBA KALI PERFECT KWA KUISHI FAMILIA QUALITY YOYOTE! ๐ค
BEI INAUZWA TSHS MIL 250
MAONGEZI YAPO KIDOGO
KWA MAWASILIANO PIGA;
๐ +255 718 936 416
+255 768 914 118