5 Bedrooms House for sale at Mzinga, Dar Es Salaam







ENEO ZURI KUBWA LINAUZWA (MIL 60) MWANAGATI KWA NIABA YA BANK
Kuna Nyumba Ya Vyumba Vitano Ndani Ya Eneo
Eneo Ni Zuri Sana Kwa Uwekezaji Wa Apartment & Business Centre Unaweza Kujenga Fremu Zaidi Ya Kumi Na Tano Maana Ni Centre Kabisa Jiran Na Barabara Kuu Na Kituo Cha Dadadala
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,500
Umbali: Meter 70 Kutoka Barabara kuu Ya Lami
Mark : Mzinga Secondary School/ Meter 100 Tu Kutoka Kituo Kikuu Cha Dadadala
Bei : 60 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337





