5 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani


HII NI GHOLOFA MOJA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA NI BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 280 TU
NYUMBA IPO VIKINDU KAZOLE
ENEO SQUARE MITER β¬οΈ 700
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE π¬ YA SILIKALI YA MTAA
VYUMBA VIPO 5 VYOTE NI MASTERS BDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE
INA PUBLIC TOILET INA KISIMA CHA MAJI NA KILA KITU
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI KILOMETERS 2 TU
.KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175 0652 618 143 π


















