Farm for sale at Babati, Manyara







*Shamba la Ekari 121.7 linauzwa kata ya Galapo Kijiji Cha Endadoshi-Manyara*
*Distance* Kutoka Babati mjini mpaka Shambani ni 36 km
✅Shamba lote ni tambarare hakuna pori ndani kuna Nyumba ya msimamizi wa shamba na choo chake
✅Shamba linakubali kilimo cha Mahindi, Mbaazi, Dengu, Maharage, Vitunguu n.k
✅Shamba limetoka kwenye mavuno ya Kilimo Dengu, Maharage.
✅Shamba lina udongo mweusi unaokubali mazao yote.
✅Plot size Ekari 121.7
✅Document: Title Deed
*Bei shilingi milioni 1.2 kwa kila ekari moja*
Simu:0621488071