Retail Space for Rent at Mwananyamala, Dar Es Salaam


FREMU NZURI INAPANGISHWA 
Loc: Mwananyamala 
Price:350,000 per month 
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Fremu nzuri kubwa ipo sehemu nzuri barabarani kabisa inafaa kwa biashara mbalimbali full tiles gypsum board mlango kioo
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie 
For more info 
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈



















