Retail Space for Sale at Kivule, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA BEI RAFIKI, TSHS.30 MILIONI, KIVULE FREMU KUMI/kwaNYAHIRI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ibaweza kuhitaji maboresho kiasi.
Mf. Sakafu ni ya Kwaida, Rangi nk.
Vyumba 3 ( Masta1) Pia kuna Sebule,
Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani
Ipo ndani ya Fensi.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.