House for rent at Bunju, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO INAPANGISHWA
IPO: BUNJU A SHULE
KODI: TSH 180000 Kwa mwezi
Miezi 3 au 6
Ipo ndani ya fence
Inajitegemea maji na umeme
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0783436763 au 0711421798
#nyumba #nyumbanzuri #nyumbazakisasa #nyumbakali #apartment #tegeta #boko #bunju #kinondoni #daressalaam #tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿