House for rent at Bunju, Dar Es Salaam


13/2/2024
Nyumba inapangishwa apartment
Bei 300000 Kwa mwezi
Miezi 3 au 6
Location bunju b
Ipo ndani ya fence
Inajitegemea maji na umeme mpya
Ipo ndani ya fence
Vyumba 2 kimoja Master bedroom sitting room kitchen cabinets dining room public toilet
Contact 0783436763